• HABARI MPYA

  Friday, November 19, 2021

  RC, DC WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI


  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea mradi wa Kituo cha michezo kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), eneo la Mwasonga, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


  Katika ziara hiyo, Makalla ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa na Katibu wa TFF, Wilfred Kidau.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RC, DC WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top