• HABARI MPYA

  Friday, November 12, 2021

  STARS WAENDA KUKAMILISHA RATIBA MADAGASCAR


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye ndege wakati wa safari ya kwenda Antananarivo kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Madagascar Jumapili.
  Taifa Stars imepoteza nafasi ya kufuzu fainali hizo zitakazofanyika Qatar mwakani baada ya kufungwa 3-0 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STARS WAENDA KUKAMILISHA RATIBA MADAGASCAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top