• HABARI MPYA

  Tuesday, November 16, 2021

  AZAM FC NA QPR WASHIRIKA


  AFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' jana alitembelea akademi ya klabu ya Queens Park Rangers Jijini London England ikiwa sehemu ya ziara yake nchini England.
  Akademi hiyo iliyopo category two, ni maarufu kwa kuzalisha wachezaji kama Raheem Sterling na Peter Crouch.
  Popat ambaye awali alitembelea akademi ya Crystal Palace, yupo katika ziara ya kuitangaza na kuitambulisha Azam FC barani Ulaya hususani England.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA QPR WASHIRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top