• HABARI MPYA

  Friday, November 26, 2021

  MSUVA AWAIBUKIA YANGA MAZOEZINI KIGAMBONI

   

  MSHAMBULIAJI wa Wydad Athletic ya Morocco, Simon Happygod Msuva jana ametembelea mazoezi ya timu yake ya zamani, Yanga SC eneo la Avic Town, Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

  Msuva alipata fursa ya kuzungumza na makocha, viongozi na wachezaji wenzake kwa furaha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA AWAIBUKIA YANGA MAZOEZINI KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top