Mwanzo > TFF > KARIA AFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA MAKIPA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF KARIA AFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA MAKIPA RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amefungua Kozi ya FIFA ya siku 5 kwa Makocha wa Makipa inayofanyika makao makuu ya bodi hiyo ya kandanda nchini, Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam. Wednesday, November 10, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI TFF
0 comments:
Post a Comment