• HABARI MPYA

  Friday, November 26, 2021

  SIMBA SC NA RED ARROWS SH 5,000 TU


  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Red Arrows ya Zambia ni Sh.5000.


  Taarifa ya Simba SC leo imesema kwamba viingilio vingine katika mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni ni Sh.20,000 kwa VIP B na C na 40,000 kwa VIP A.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA RED ARROWS SH 5,000 TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top