• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 08, 2020

  NYOTA WA SIMBA SC, IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ATOA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR

  Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Umra kilichopo Magomeni Mikumi Jijini jana

  Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Mayunga kilichopo Kinondoni Moscow Jijini jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA SIMBA SC, IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ATOA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top