• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2020

  KWA KOCHA JOSE MOURINHO BARAKOA NI YA KUSHIKA MKONONI TU

  Kocha Mreno wa Tottenham Hotspur ya England, Jose Mourinho akitembea huku ameshika barakoa mkononi kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KWA KOCHA JOSE MOURINHO BARAKOA NI YA KUSHIKA MKONONI TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top