• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 16, 2020

  HAPA SHOMARI SALUM KAPOMBE NI BABA, TOFAUTI KABISA NA YULE BEKI WA KULIA WA SIMBA SC

  Beki wa klabu ya Simba SC, Shomari Salum Kapombe akiwa nyumbani kwake na mwanawe Jijini Dar es Salaam kipindi hiki cha mapumziko ya soka kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona  duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAPA SHOMARI SALUM KAPOMBE NI BABA, TOFAUTI KABISA NA YULE BEKI WA KULIA WA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top