• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2020

  MLINDA MLANGO BENO KAKOLANYA ANAPOMAANISHA ANACHOKISEMA KUHUSU MAISHA YAKE SIMBA SC

  Kipa wa pili wa Simba SC, Beno David Kakolanya akiwa ametulia nyumbani kwake, Mwanjelwa mkoani Mbeya kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa COVID19. Kakolanya amekaririwa akisema anafurahia maisha Simba SC kutokana na namna anavyopewa ushirikiano na viongozi wa klabu hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MLINDA MLANGO BENO KAKOLANYA ANAPOMAANISHA ANACHOKISEMA KUHUSU MAISHA YAKE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top