• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 10, 2020

  MKALI WAO, BERNARD MORRISON AKIWA AMEJIPUMZISHA SEBULENI KWAKE BAADA YA MAZOEZ YA KUTOSHA YA VIUNGO KUUWEKA MWILI WAKE SAWA

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mghana Bernard Morrison akia amejipumzisha sebuleni kwake baada ya mazoezi ya viungo katika kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKALI WAO, BERNARD MORRISON AKIWA AMEJIPUMZISHA SEBULENI KWAKE BAADA YA MAZOEZ YA KUTOSHA YA VIUNGO KUUWEKA MWILI WAKE SAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top