• HABARI MPYA

  Friday, April 24, 2020

  KIUNGO WA SIMBA SC, SAID HAMISI NDEMLA ALIPOMSINDIKIZA BEKI WA YANGA SC, ALLY MTONI 'SONSO' KUOA DAR

  Beki wa Yanga SC, Ally Abdulkarim Mtoni 'Sonso' akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa jana Mbagala Jijini Dar es Salaam. 

  Ally Mtoni 'Sonso' alisindkizwa na rafiki yake, kiungo wa Simba SC, Said Hamisi Ndemla (kulia) kwenda kuoa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIUNGO WA SIMBA SC, SAID HAMISI NDEMLA ALIPOMSINDIKIZA BEKI WA YANGA SC, ALLY MTONI 'SONSO' KUOA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top