• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 16, 2020

  NYOTA WA TANZANIA ANAYECHEZA MOROCCO, SIMON HAPPYGOD MSUVA AKIWA AMETULIA NYUMBANI KWAKE NCHINI HUMO

  Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva anayechezea klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi akiwa nyumbani kwake Jijini Casablanca kipindi hiki cha mapumziko ya soka kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona  duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA TANZANIA ANAYECHEZA MOROCCO, SIMON HAPPYGOD MSUVA AKIWA AMETULIA NYUMBANI KWAKE NCHINI HUMO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top