• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2020

  PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ADHIHIRISHA MAPENZI YAKE KWA TANZANIA BAADA YA KUVAA JEZI YA TAIFA STARS

  Kiungo Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto), raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa amevaa jezi ya timu ya taifa ya Tanzania tayari kwa mazoezi binafsi, kipindi hiki klabu yake, Yanga imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19

  Jezi namba tano Taifa Stars huvaliwa na mchezaji mwenzake wa Yanga SC, Kelvin Yondan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ADHIHIRISHA MAPENZI YAKE KWA TANZANIA BAADA YA KUVAA JEZI YA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top