• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 27, 2020

  MKALI WA MABAO LIGI KUU YA TANZANIA, MEDDIE KAGERE ANAENDELA VIZURI KABISA NYUMBANI KWAO, KIGALI

  Mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere anayechezea Simba SC ya Dar es Salaam akiwa nyumbani kwake, Kigali kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKALI WA MABAO LIGI KUU YA TANZANIA, MEDDIE KAGERE ANAENDELA VIZURI KABISA NYUMBANI KWAO, KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top