• HABARI MPYA

  Monday, April 20, 2020

  KIPA WA TATU WA YANGA SC, RAMADHANI AWAM KABWILI AKIJIFUA 'KIKOMANDOO' MSITUNI

  KIPA wa tatu wa klabu ya Yanga SC, Ramadhani Awam Kabwli akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPA WA TATU WA YANGA SC, RAMADHANI AWAM KABWILI AKIJIFUA 'KIKOMANDOO' MSITUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top