• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 23, 2020

  AMBAVYO 'KAPTENI DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA YUKO FITI KABISA NA ANACHUKUA TAHADHARI ZOTE ZA CORONAJIJINI

  Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta 'Kapteni Diego' anayechezea Aston Villa ya England akiwa amevaa Barakoa Jijini Birmingham kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona, kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi hivyo duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AMBAVYO 'KAPTENI DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA YUKO FITI KABISA NA ANACHUKUA TAHADHARI ZOTE ZA CORONAJIJINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top