• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2020

  MIRAJ ATHUMANI MADENGE 'SHEVA' ANAVYOFANYA MAZOEZI UFUKWENI KUJIWEKA FITI AREJESHE MAKALI MSIMBAZI

  Mshambuliaji wa Simba SC, Miraj Athumani Madenge 'Sheva' akifanya mazoezi ya kukimbia ufukweni kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MIRAJ ATHUMANI MADENGE 'SHEVA' ANAVYOFANYA MAZOEZI UFUKWENI KUJIWEKA FITI AREJESHE MAKALI MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top