• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 14, 2020

  MKONGWE WA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKIFURAHIA MAISHA MBELE YA GARI LAKE

  Kiungo mkongwe wa klabu ya Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa akifurahia mbele ya gari lake wakati huu wa mapumziko ya soka kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona  duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKONGWE WA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKIFURAHIA MAISHA MBELE YA GARI LAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top