• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 18, 2020

  KIPA KWELI, METACHA BONIPHACE MNATA WA YANGA AKIJIFUA VIKALI UFUKWENI MWA BAHARI KUJIWEKA FITI

  Kipa wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata akiwa na mipira yake wakati wa mazoezi yake binafsi jana ufukweni mwa Bahari ya Hindi Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitsha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona dunia nzima vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPA KWELI, METACHA BONIPHACE MNATA WA YANGA AKIJIFUA VIKALI UFUKWENI MWA BAHARI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top