• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 01, 2020

  KINDA MWINGINE WA TANZANIA, SAID JUNIOR ASAJILIWA NA KLABU YA ABU DHABI KWA MKATABA WA MIAKA MITATU

  Mshambuliaji wa Mbao FC Said Khamis Said, maarufu kama Said Junior amejiunga na klabu ya Baniyas SC ya Al Shamkha, Abu Dhabi, Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa miaka mitatu, akijunga na chipukizi mwingine, John Tibar George aliyesajiliwa kutoka MFK Vyskov ya Daraja la Pili ya Czech, baada ya kuzichezea Ndanda FC na Singida United za nyumbani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KINDA MWINGINE WA TANZANIA, SAID JUNIOR ASAJILIWA NA KLABU YA ABU DHABI KWA MKATABA WA MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top