• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 07, 2020

  TANZANIA ONE, KIPA WA SIMBA SC AISHI SALUM MANULA AKIJIFUA PEKE YAKE CHAMAZI KUJIWEKA FITI ZAIDI

  Kipa namba moja wa Simba SC na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Salum Manula akijifua peke yake nyumbani kwao, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona dunia nzima vinavyosababishwa ugonjwa wa COVID 19 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA ONE, KIPA WA SIMBA SC AISHI SALUM MANULA AKIJIFUA PEKE YAKE CHAMAZI KUJIWEKA FITI ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top