• HABARI MPYA

  Saturday, April 25, 2020

  WASHAMBULIAJI WAWILI NDUGU, DANIEL NA MDOGO WAKE AYOUB LYANGA WAKIFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NYUMBANI KUJIWEKA FITI

  Wachezaji wawili ndugu, washambuliaji Daniel Lyanga wa JKT Tanzania (kulia) na mdogo wake, Ayoub Lyanga wa Coastal Union wakifanya mazoezi ya pamoja kujiweka fiti kipindi hiki timu zao zimesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WASHAMBULIAJI WAWILI NDUGU, DANIEL NA MDOGO WAKE AYOUB LYANGA WAKIFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NYUMBANI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top