• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 04, 2020

  KAPTENI SAMATTA YUKO FITI NA MWENYE FURAHA KABISA PAMOJA NA TISHIO LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA DUNIA NZIMA

  Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, akifurahia nje ya nyumbani kwake, mitaa ya Aston, Jijini Birmingham anakochezea klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu ya England, kipindi hiki shughuli zote za michezo zimesitishwa dunia nzima kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi ya corona (COVID19) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAPTENI SAMATTA YUKO FITI NA MWENYE FURAHA KABISA PAMOJA NA TISHIO LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA DUNIA NZIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top