• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 22, 2020

  HATIMAYE UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX WAKAMILIKA CHAMAZI, SASA WAFANANA NA WA TP MAZEMBE

  Hatimaye ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Jijini Dar es Salaam umekamilika na sasa kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ambayo imesimama kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ili vijana warudi nyumbani Chamazi.
  Azam Complex unakuwa Uwanja mwingine baada ya Stade TP Mazembe uliopo Jijini Lubumbashi, unaotumiwa na klabu ya TP Mazembe  uliowekwa nyasi bandia za kisasa barani Afrika
  Sasa  kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili vijana warudi nyumbani 
  Chamazi
  Sasa  kinachosubiriwa ni kurejea kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili vijana warudi nyumbani Chamazi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HATIMAYE UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX WAKAMILIKA CHAMAZI, SASA WAFANANA NA WA TP MAZEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top