• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 20, 2020

  HIVI NDIVYO MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, DONALD DOMBO NGOMA ANAVYOJIFUA KUJIWEKA FITI ZAIDI

  MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Azam FC, Donald Dombo Ngoma akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, DONALD DOMBO NGOMA ANAVYOJIFUA KUJIWEKA FITI ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top