• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2020

  MRISHO NGASSA ALIPOCHANGAMKIA OFA YA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE DUKA MDHAMINI WA YANGA SC LEO

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akiwa na Afisa wa Idara ya Habari ya Yanga SC, Antonio Nugaz leo kwenye duka la nguo la mfadhili wa klabu yao, GSM liiitwalo Anta liliopo Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupewa vifaa vya michezo vya kufanyia mazoezi nyumbani kipindi hiki mazoezi ya pamoja yamesitishwa kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 
  Kundi lingine la wachezaji wa Yanga baada ya kupatiwa vifaa vyao juzi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MRISHO NGASSA ALIPOCHANGAMKIA OFA YA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE DUKA MDHAMINI WA YANGA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top