• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 28, 2020

  IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ANAVYOKAMUA KWA BIDII GYM KUJIWEKA FITI AREJESHE HESHIMA SIMBA SC

  Kiungo wa Simba SC, Ibrahim Ajibu Migomba akifanya mazoezi gym kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIM AJIBU MIGOMBA ANAVYOKAMUA KWA BIDII GYM KUJIWEKA FITI AREJESHE HESHIMA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top