• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 19, 2020

  MICHEZO YA PESA NDIYO KITU ANACHOPENDA MAYWEATHER

  Mwanamichezo tajiri zaidi duniani, Floyd Mayweather akicheza kamari kwenye ndege yake binafsi na rafiki yake B Side kipindi hiki raia wa Marekani wamezuiwa kutoka nje kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MICHEZO YA PESA NDIYO KITU ANACHOPENDA MAYWEATHER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top