• HABARI MPYA

  Monday, April 20, 2020

  BEKI CHIPUKIZI WA TANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE YUKO POA KAMA HIVI

  BEKI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Nickson Kibabage akifurahia maisha nchini Morocco anakochezea klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI CHIPUKIZI WA TANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, NICKSON KIBABAGE YUKO POA KAMA HIVI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top