• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 25, 2020

  KIUNGO MKENYA WA SIMBA SC, FRANCIS KAHATA NYAMBURA AKIJFANYA MAZOEZI BINAFSI KWAO NAIROBI NA BARAKOA YAKE

  Kiungo Mkenya wa Simba SC ya Dar es Salaam, Francs Kahata Nyambura akifanya mazoezi peke yake kwao na barakoa Jijini Nairobi kipindi hiki timu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO MKENYA WA SIMBA SC, FRANCIS KAHATA NYAMBURA AKIJFANYA MAZOEZI BINAFSI KWAO NAIROBI NA BARAKOA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top