• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 19, 2020

  NYOTA MKONGWE WA KLABU YA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKICHEZA KWENYE MAJI YA BWAWA

  KIUNGO mkongwe wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akifurahia kwenye maji ya bwawa kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake vyote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA MKONGWE WA KLABU YA YANGA, MRISHO KHALFAN NGASSA AKICHEZA KWENYE MAJI YA BWAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top