• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 21, 2020

  AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya timu zake zote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo katika kifaa maalum alichonacho nyumbani kwake 
  Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya kunyonga baiskeli maalum isiyotembea aliyonacho nyumbani kwake 
  Hapa Shaaban Iddi Chilunda anafanya mazoezi ya tumbo na eneo lote la juu la mwili 
  Shaaban Iddi Chilunda ana vifaa vingi maalum kwa mazoezi ya nyumbani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AMBAVYO SHAABAN IDDI CHILUNDA, NYOTA WA AZAM FC ANA VIFAA VINGI MAALUM KWA MAZOEZI BINAFSI NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top