Nahodha wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshshimbi akiwa na ndugu zake tayari kufanya mazoezi binafsi nyumbani kwa kiungo huyo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya timu zake zote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
MLS: St Louis City make it five wins from five with thrashing of Real Salt Lake
-
The league's newest team came in being tipped to struggle by fans and
pundits, but have enjoyed a near-miraculous start, scoring 15 goals in just
five matc...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment