• HABARI MPYA

  Tuesday, April 28, 2020

  HARUNA HAKIZIMANA NIYONZIMA SASA MUME WA WAKE WAWILI, AOA NA BINTI WA KITANZANIA BAGAMOYO

  Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima akiwa na mke wake wa pili, Mtanzania baada ya kufunga ndoa hivi karibuni Bagamoyo mkoani Pwani

  Beki Juma Abdul (kushoto) ni mchezaji mwenzake pekee aliyehudhuria ndoa hiyo ya siri. Mke mkubwa wa Haruna, Naillah Uwineza ni Mnyarwanda mwenzake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HARUNA HAKIZIMANA NIYONZIMA SASA MUME WA WAKE WAWILI, AOA NA BINTI WA KITANZANIA BAGAMOYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top