• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 05, 2020

  KIKOSI CHA TIGER YA MBEYA STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ NDANI 1993

  KIKOSI cha Tiger ya Mbeya mwaka 1993 kikiwa Uwanja wa Karume Dar es Salaam kabla ya mechi Benki Kuu (BoT) ya Dar es Salaam Daraja la Pili (sasa) la Kwanza. Kutoka kulia waliosimama ni kipa Mzambia, Baldwin Sisinawa, Raymond Simkoko, Remy Mkama, Merdard Barongo, Nebo Bukumbi, Thomas Kasulamemba, Steven Mapunda ‘Garrincha’, kocha Hassan Mlwilo (marehemu) na Nassib Tondogoso.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Eiphraim Mwakalasa ‘Kimti’, Yahya Mchatta, Bahati Mwamlima, Karabi Mrisho, Elibariki Kitundu na kipa Ramadhani Lulandala. BoT ilishinda 3-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TIGER YA MBEYA STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ NDANI 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top