• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 23, 2020

  FUNDI MZAMBIA WA SIMBA SC CLATOUS CHOTA CHAMA AKIJIFUA NA MKEWE NYUMBANI KUJIWEKA FITI

  Kiungo Mzambia wa Simba SC ya Dar es Salaam, Clatous Chota Chama akifanya mazoezi na mkewe nyumbani kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FUNDI MZAMBIA WA SIMBA SC CLATOUS CHOTA CHAMA AKIJIFUA NA MKEWE NYUMBANI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top