• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 24, 2020

  MNAJUA KWAMBA KIPRE TCHETCHE ALIYEKUWA AZAM NA KPAH SHERMAN WA YANGA SASA WANACHEZA TIMU MOJA MALAYSIA?

  Mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Muivory Coast, Kipre Herman Tchetche (kulia) akiwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Mliberia Kpah Sherman pamoja na wachezaji wenzao wa Kedah FC ya Ligi Kuu ya Malaysia kipindi hiki klabu yao imesitisha mazoezi kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MNAJUA KWAMBA KIPRE TCHETCHE ALIYEKUWA AZAM NA KPAH SHERMAN WA YANGA SASA WANACHEZA TIMU MOJA MALAYSIA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top