• HABARI MPYA

    Wednesday, August 02, 2017

    SIMON MSUVA KAZINI JANA MOROCCO, MAZOEZINI HADI KWENYE KIKAO

    Winga Mtanzania, Simon Msuva (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wa Difaa Hassan El-Jadidi mazoezini jana Uwanja wa El Abdi mjini El- Jadidi, Morocco
    Simon Msuva kushoto akipiga shui dhidi ya mchezaji mwenzake
    Simon Msuva akiwa chini ya ulinzi wa beki kwenye mazoezi ya jana Uwanja wa El Abdi
    Baada ya mazoezi, Simon Msuva akaenda kwenye kikao cha pamoja cha wachezaji wote na viongozi 
    Kikao kilifanyika ukumbi wa mikutano wa klabu yake hiyo mpya 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMON MSUVA KAZINI JANA MOROCCO, MAZOEZINI HADI KWENYE KIKAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top