Eric Bailly (kulia) akikimbia kushangilia na Romelu Lukaku baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 45 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Swansea City jioni ya leo Uwanja wa Liberty mjini Swansea, Wales kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya United ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Lukaku dakika ya 80, Paul Pogba dakika ya 82 na Anthony Martial dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'I'm confident the club know what they're doing' - Haaland
-
Manchester City striker Erling Haaland says the charges facing the club had
no bearing on him signing a new long-term contract.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment