• HABARI MPYA

    Wednesday, August 02, 2017

    MAKIPA BORA AFRIKA, NDUDA NA ONYANGO WALIPOKUTANA JO'BURG

    Kipa bora Afrika, Denis Onyango wa klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (kulia) akiwa na kipa bora wa Kombe la COSAFA, Said Mohamed Nduda wa Simba ya Tanzania leo mjini Johannesburg,. Nduda yupo na Simba Afrika Kusini kwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya
    Nduda (kulia) akiwa na wachezaji wenzake wa Simba wakizirura mitaa ya Jiji la Johannesbur
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKIPA BORA AFRIKA, NDUDA NA ONYANGO WALIPOKUTANA JO'BURG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top