Beki wa kulia wa Crystal Palace, Joel Ward akimdhibiti mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Lukaku alianza kuifungia bao la Everton kablaa ya Christian Benteke kuisawazishia Palace timu hizo zikitoka sare ya 1-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment