Arda Turan akibinuka tik tak kumtengenezea Luis Suarez nafasi ya kufunga bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Sevilla kwenye mchezo wa kwanza wa Super Cup ya Hispania jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Bao lingine la Barca lilifungwa na Munir El Haddadi Mohamed PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
16 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment