Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib (katikati) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa URA jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mnavugo (kushoto) akijivuta kufumua shuti mbele ya beki wa URA
Winga wa Simba, Shizza Kichuya akitafuta maarifa ya kumpira beki wa URA
Ibrahim Hajib akitafuta maarifa ya kumpita beki wa URA
Kikosi cha cha Simba kilichoanza jana dhidi ya URA
Kikosi cha URA katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
NELFUND condemns tuition refund delays
-
NELFUND condemns tuition refund delays and arbitrary fee hikes, pledging to
protect students and ensure compliance with the student loan scheme.
The post...
0 comments:
Post a Comment