Mshambuliaji Luis Suarez akipiga nje uzio wa benchi la wachezaji wa akina kwa hasira baada ya Uruguay kuruhusu bao ikilala 1-0 mbele ya Venezuela bao pekee la Salomon Rondon katika mchezo wa Copa America Alfajiri ya leo Uwanja wa Lincoln Financial Field mjini Philadelphia, Marekani. Venezuela imetinga Robo Fainali kwa ushindi huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: How Scotland have a 0.1% chance of reaching the knockout stages,
who England are set to face in the last 32 and who is most likely to win
the World Cup
-
Scotland need a miracle to remain one of the World Cup's top eight
third-placed teams and stay in the competition. Steve Clarke's side are
being hauled tow...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment