Beki wa England, Gary Cahill akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Urusi, Fedor Smolov katika mchezo wa Kundi B Euro 2016 usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stade Velodrome, Marseille, Ufaransa. Timu hizo zimetola sare ya 1-1, England wakitangulia kwa bao la Eric Dier dakika ya 73, kabla ya Vasili Berezutski kuisawazishia Urusi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Angryginge says he was abused online for ‘standing up to racism’
-
Posts on his Instagram story showed a number of abusive and threatening
comments he claimed to have received.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment