Dimitri Payet akikimbia kushangilia na Olivier Giroud baada ya kuifungia Ufaransa bao la ushindi dakika ya 89 ikiilaza 2-1 Romania katika mchezo wa ufunguzi wa Euro 2016 Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa. Bao lingine la Ufaransa katika mchezo huo wa Kundi A, lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 57, wakati la Romania lilifungwa na Bogdan Stancu kwa penalti dakika ya 25, baada ya Patrice Evra kumchezea rafu Nicolae Stanciu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: France beat Norway 4-1 as Dembélé hits hat-trick
-
France maintained their perfect start to the 2026 FIFA World Cup with a
commanding 4-1 victory over Norway on Friday, thanks to a first-half
hat-trick fr...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment