Beki Andrew Vincent 'Dante' akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa usajili wa Yanga SC leo mjini Dar es Salaam baada ya kusaini miaka miwili kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro
Dante akisaini fomu za kujiunga na Yanga leo wakati akishuhudiwa na ndugu zake
Andrew Vincent 'Dante' sasa ni mali ya Yanga SC na ni mtumishi halali wa timu ya Jangwani

0 comments:
Post a Comment