Winga wa Argentina, Angel Di Maria akimtoka beki wa Chile, Gary Medel katika mchezo wa Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Levi mjini Santa Maria, Marekani. Argentina iliyocheza bila nyota wake, Lionel Messi, imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Angel di Maria na Ever Banega, wakati la Chile limefungwa na Jose Fuenzalida PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Angryginge says he was abused online for ‘standing up to racism’
-
Posts on his Instagram story showed a number of abusive and threatening
comments he claimed to have received.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment