Robert Lewandowski akiteleza dhidi ya Andriy Pyatov kufunga bao la sita katika uahinsi wa 7-0 wa Bayern Munich dhidi ya Shakhtar Donetsk katika mchezo wa marudiano 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya nchini Ujerumani. Mabao ya Bayern yamefungwa na Thomas Muller mawili moja kwa penalti, Jerome Boateng, Franck Ribery, Holger Badstuber,
Robert Lewandowski na Mario Gotze. Bayern imepita kwa ushindi wa jumla wa 7-0 baada ya sare ya 0-0 katika mchezo wa kwanza.


.png)
0 comments:
Post a Comment